Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Arusha

( AUWSA )

Dira, Dhamira na Maadili ya Msingi

Dira

“Kuwa Mamlaka bora na inayoongoza katika utoaji wa huduma za majisafi na usafi wa mazingira katika bara la Afrika”.

Dhima

"Kutoa huduma bora na endelevu za majisafi na usafi wa mazingira kwa gharama nafuu ili kuchangia maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika Jiji la Arusha na Tanzania kwa ujumla".

Maadili ya Msingi

AUWSA inafanya kazi zake kwa kufuata maadili ya msingi yafuatayo;

 

  1. Weledi;
  2. Uadilifu;
  3. Uwajibikaji;
  4. Ubunifu na uvumbuzi kiutendaji;
  5. Kumjali Mteja;
  6. Ushirikiano katika kazi; na
  7. Ubora wa kazi na thamani.