Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Arusha

( AUWSA )

AUWSA YATEMBELEWA NA WATAALAMU KUTOKA WIZARA YA MAJI PAMOJA NA WIZARA YA NISHATI NA MADINI YA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Imewekwa: 13 March, 2024
AUWSA YATEMBELEWA NA WATAALAMU KUTOKA WIZARA YA MAJI PAMOJA NA WIZARA YA NISHATI NA MADINI YA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

AUWSA imepokea wataalam kutoka Wizara ya Maji, Nishati na Madini ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kwa lengo la kujifunza na kubadilishana uzoefu katika masuala mbalimbali.