Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Arusha

( AUWSA )

AUWSA YAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MACHI 8

Imewekwa: 10 March, 2026
AUWSA YAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MACHI 8

Wanawake wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA) waliadhimisha Siku ya Wanawake Duniani 2026 kwa kufanya ziara katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro, ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha mshikamano, kubadilishana uzoefu na kutambua mchango wa wanawake katika maendeleo ya jamii. #GivetoGain #IWD