Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Arusha

( AUWSA )

MWENGE WA UHURU WAZINDUA UJENZI WA TANKI LA MAJI KIMINDOROSI

Imewekwa: 13 July, 2026
MWENGE WA UHURU WAZINDUA UJENZI WA TANKI LA MAJI KIMINDOROSI

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2026, Ndugu Wazo Michael Mwang'onda amezindua mradi wa ujenzi wa tenki la maji Kimindorosi lenye ujazo wa lita elfu 50 kata ya Olasiti, mradi uliotekelezwa na AUWSA.