MRADI WA UBORESHAJI WA HUDUMA YA MAJI SAFI NA SALAMA KWA WAKAZI WA BARAA, MOIVARO ,MOSHONO BAADHI YA MAENEO YA KIJIJI CHA SHANGARAI KUFIKIA ASILIMIA 37%
MRADI WA UBORESHAJI WA HUDUMA YA MAJI SAFI NA SALAMA KWA WAKAZI WA BARAA, MOIVARO ,MOSHONO BAADHI YA MAENEO YA KIJIJI CHA SHANGARAI KUFIKIA ASILIMIA 37%
Imewekwa: 22 May, 2026
Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira jiji la Arusha (AUWSA)wakishirikiana na mamlaka za maji uholanzi (VEI) wanaendelea nanutekelezaji wa mradi wa kuboresha huduma ya maji safi kwa maeneo tajwa
Pichani ni timu ya mradi pamoja na menejimenti ya AUWSA wakikagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi huo