ZIARA YA MAFUNZO ARUSHA
ZIARA YA MAFUNZO ARUSHA
Imewekwa: 22 November, 2023
Bodi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Iringa (IRUWASA) wakiwa katika ziara ya Mafunzo katika Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA).