AUWSA YATEMBELEWA NA WATAALAMU KUTOKA WIZARA YA MAJI PAMOJA NA WIZARA YA NISHATI NA MADINI YA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
AUWSA YATEMBELEWA NA WATAALAMU KUTOKA WIZARA YA MAJI PAMOJA NA WIZARA YA NISHATI NA MADINI YA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
Imewekwa: 13 March, 2024
![AUWSA YATEMBELEWA NA WATAALAMU KUTOKA WIZARA YA MAJI PAMOJA NA WIZARA YA NISHATI NA MADINI YA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR](https://www.auwsa.go.tz/uploads/news/cb99e2145b6120d641867febb5889e24.jpeg)
AUWSA imepokea wataalam kutoka Wizara ya Maji, Nishati na Madini ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kwa lengo la kujifunza na kubadilishana uzoefu katika masuala mbalimbali.