Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Arusha

( AUWSA )

TATIZO LA UPATIKANAJI WA MAJI

14 November, 2023

Tunawataarifu wateja wetu wote kuwa kutakua na tatzo la maji tarehe 15-20 Novemba 2023.Maeneo yatakayo athirika na tatzo hili ni Ngalemtoni,Mabatini na Kasongo