Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Arusha

( AUWSA )

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Prof. Jamal Katundu na wadau sekta ya maji.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Prof. Jamal Katundu akiwasilisha Rasimu ya Mpango mkakati wa Wizara ya Maji wa mwaka 2024/2025 na 2025/2026 kwa wadau wa Sekta ya maji kwenye siku ya pili ya Mkutano wa wadau wa Sekta ya Maji unaoendelea katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha. Wadau wa Sekta ya Maji watapata nafasi ya kutoa maoni ambayo yatajumuishwa katika kukamilisha Mpango Mkakati wa Wizara ya Maji wa mwaka 2024/2025 na 2025/2026.