Resources » Announcements

Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili

Mmalaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA) tarehe 08 Februari, 2020 ilichapisha nafasi za kazi kwa kada mbalimbali kupitia gazeti la Daily News na Mwananchi la tarehe 08 Februari, 2020. Kufuatia zoezi la uchambuzi wa sifa za waombaji kwa mujibu wa Muundo wa Maendeleo ya Utumishi wa Mamlaka kukamilika wafuatao wanajulishwa kuwa wanatakiwa kufika kwenye usaili utakaofanyika tarehe 27 na 28 Machi, 2020 kuanzia saa 02:00 asubuhi katika ofisi za Mamlaka (AUWSA) zilizopo barabara ya Wachaga.

Downloads File: