TANAGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA MKURUGENZI MTENDAJI

Bodi ya Wakurugenzi  ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA) tarehe 20 Machi  2020 ilichapisha nafasi ya kazi kwa kada ya Mkurugenzi Mtendaji kupitia gazeti la Daily News na Mwananchi  la tarehe 20 Machi, 2020. Kufuatia zoezi la uchambuzi wa sifa za waombaji kwa mujibu wa Muundo wa Maendeleo ya Utumishi wa Mamlaka kukamilika wafuatao wanajulishwa kuwa wanatakiwa kufika kwenye usaili utakaofanyika tarehe 25  Aprili, 2020 kuanzia saa 03:00 asubuhi  katika ofisi za Mamlaka (AUWSA) zilizopo barabara ya Wachaga. 

Downloads File: