Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Joseph Magufuli akikagua utekelezaji wa mradi mkubwa wa maji katika Jiji la Arusha na kuweka jiwe la msingi katika kisima kimojawapo kilichopo katika kata ya Kimnyaki Wilaya ya Arumeru.