Resources

TANAGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA MKURUGENZI MTENDAJI

Bodi ya Wakurugenzi  ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA) tarehe 20 Machi  2020 ilichapisha nafasi ya kazi kwa kada ya Mkurugenzi Mtendaji kupitia gazeti la Daily News…

Read More

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA) tarehe 08 Februari, 2020 ilichapisha nafasi za kazi kwa kada mbalimbali kupitia gazeti la Daily News na Mwananchi  la tarehe 08 Februari,…

Read More

Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili

Mmalaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA) tarehe 08 Februari, 2020 ilichapisha nafasi za kazi kwa kada mbalimbali kupitia gazeti la Daily News na Mwananchi la tarehe 08 Februari, 2020.…

Read More

Eneo La Kusafisishia Maji Midawe Linalojengwa Kupitia Mradi Wa Maji Jijini Arusha

Eneo La Kusafisishia Maji Midawe Linalojengwa Kupitia Mradi Wa Maji Jijini Arusha

Read More

Tenki la shamba la mbegu (seed farm) lenye uwezo wa kubeba maji lita milioni kumi

Tenki la shamba la mbegu (seed farm) lenye uwezo wa kubeba maji lita milioni kumi

Read More

KARATU KUPATA MAJI YA UHAKIKA NDANI YA KIPINDI CHA MIEZI MIWILI

Serikali ya Awamu ya tano inayoongozwa na Mhe. Rais John Joseph Pombe Magufuli imetoa fedha kwa ajili ya kufufua mradi wa maji kwa lengo la kuongeza kiwango cha upatikanaji wa maji kwa wakazi na kuchochea…

Read More