Resources » News and Events

MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2019 WAKUBALI JUHUDI ZA AUWSA KATIKA MIRADI

Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2019 Umetembelea na kukagua utekelezaji wa Miradi ya Maji Jijini Arusha miongoni mwa Miradi hiyo ni mradi Mkubwa wa Maji wa Bilioni 520 unaotekelezwa na AUWSA. Kiongozi wa Mbio hizo za mwenge wa Uhuru Ndugu Mzee Mkongea Ali amepokea miradi hiyo kwa asilimia 100. Kwa taarifa zaidi soma hapa.......

Download/s File: