Serikali ya Awamu ya tano inayoongozwa na Mhe. Rais John Joseph Pombe Magufuli imetoa fedha kwa ajili ya kufufua mradi wa maji kwa lengo la kuongeza kiwango cha upatikanaji wa maji kwa wakazi na kuchochea kukua kwa uchumi kupitia fursa iliyopo ya biashara ya utalii katika mji wa Karatu.