News and Events

Mhe: Rais Samia Suluhu Hassan akizindua Mradi wa Majisafi Longido

Mhe: Rais Samia Suluhu Hassan akizindua Mradi wa Majisafi Longido

Read More

Mkuu wa Mkoa wa Arusha akiambatana na mkuu wa wilaya ya Longido katika ziara ya ukaguzi wa mradi wa majisafi Longido Namanga

Mkuu wa Mkoa wa Arusha akiambatana na mkuu wa wilaya ya Longido katika ziara ya ukaguzi wa mradi wa majisafi Longido Namanga

Read More

KARATU KUPATA MAJI YA UHAKIKA NDANI YA KIPINDI CHA MIEZI MIWILI

Serikali ya Awamu ya tano inayoongozwa na Mhe. Rais John Joseph Pombe Magufuli imetoa fedha kwa ajili ya kufufua mradi wa maji kwa lengo la kuongeza kiwango cha upatikanaji wa maji kwa wakazi na kuchochea…

Read More

MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2019 WAKUBALI JUHUDI ZA AUWSA KATIKA MIRADI

Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2019 Umetembelea na kukagua utekelezaji wa Miradi ya Maji Jijini Arusha miongoni mwa Miradi hiyo ni mradi Mkubwa wa Maji wa Bilioni 520 unaotekelezwa na AUWSA. Kiongozi wa Mbio…

Read More

Picha ya pamoja na Bodi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Arusha wakiwa na Mhe: Jumaa Aweso, Waziri wa Maji.

Picha ya pamoja na Bodi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Arusha wakiwa na Mhe: Jumaa Aweso, Waziri wa Maji.

Read More

Moja ya Tanki kubwa la majisafi Ambalo limekamilika, lenye uwezo wa kuhifadhi maji lita milioni kumi(10) lililopo eneo la Seedfarm-Ngaramtoni

Moja ya Tanki kubwa la majisafi Ambalo limekamilika, lenye uwezo wa kuhifadhi maji lita milioni kumi(10) lililopo eneo la Seedfarm-Ngaramtoni

Read More

Serikali yatumia Bilioni 514 Kumaliza tatizo la Maji Jijini Arusha

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA) imetia saini mkataba na kampuni ya Jiangxi Geo-Engineering ya nchini China kwa jili ya kuchimba visima kumi na moja (11) eneo la Magereza -…

Read More

Receive and Pay AUWSA water and sewerage bills by Mobile phone

The Arusha Urban Water Supply and Sewerage Authority (AUWSA) has inaugurated a mobile phone services in payment of monthly water supply and sewerage bills. The Authority is executing a plan to revolutionize…

Read More