News and Events

Mhe. Rais akikagua mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa katika Jiji la Arusha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Joseph Magufuli akikagua utekelezaji wa mradi mkubwa wa maji katika Jiji la Arusha na kuweka jiwe la msingi katika kisima kimojawapo kilichopo katika kata…

Read More

MFUMO MPYA WA MALIPO YA BILI ZA MAJISAFI NA MAJITAKA, TOZO PAMOJA NA MAUNGANISHO MAPYA

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA) inatumia mfumo wa malipo wa kielektroniki wa Serikali (Government Elektronic Payment Gateway system – (GePGS). Kwenye Mfumo huu,mteja tafanya…

Read More
Mhandisi Ruth Koya akisaini mkataba wa utekelezaji wa mradi wa kuboresha huduma ya majisafi na usafi wa mazingira kwa Jiji la Arusha, kushoto ni Mkandarasi kutoka Kampuni ya Jiangxi Geo

Serikali yatumia Bilioni 514 Kumaliza tatizo la Maji Jijini Arusha

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA) imetia saini mkataba na kampuni ya Jiangxi Geo-Engineering ya nchini China kwa jili ya kuchimba visima kumi na moja (11) eneo la Magereza - Shamba…

Read More

Receive and Pay AUWSA water and sewerage bills by Mobile phone

The Arusha Urban Water Supply and Sewerage Authority (AUWSA) has inaugurated a mobile phone services in payment of monthly water supply and sewerage bills.

Read More